Pages - Menu

Thursday, October 30, 2014

PSPF DISHES 300 tin HELP


Mkuu wa Wilaya ya Kilolo, Gerald Guninita akipokea msaada wa mabati 200 kutoka kwa mwakilishi wa PSPF kutoka makao makuu Amelia Rwemamu kwa ajili ya ujenzi wa maabara za sayansi katika shule za sekondari wilayani humo, Makabidhiano yalifanyika juzi katika ofisi za wilaya ya Kilolo.

No comments:

Post a Comment