Pages - Menu

Wednesday, December 17, 2014

BI. CHEKA ANAHITAJI MSAADA WAKO


MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Bi Cheka hivi sasa ni mgonjwa. Anahitaji matibabu na huduma muhimu kutokana na umri wake mkubwa (ana miaka 55).

Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Bi Cheka.
Hali yake kimaisha ni mbaya, kwani anaishi katika kibanda cha udongo, yeye na wajukuu zake. Global Publishers inaendesha harambee hii ili aweze angalau kujenga kibanda cha bati na kupata matibabu.

No comments:

Post a Comment