Pages - Menu

Thursday, December 18, 2014

DIAMOND, ZALI WAKIPATA CHAKULA CHA USIKU



Mfanyabiashara mrembo na muimbaji wa Uganda, Zarinah Hassan 'Zari'  au 'The Boss Lady' (wa tatu kulia) akipata chakula cha usiku na wageni wake wakiongozwa na staa wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul 'Diamond Platnumz' (katikati) usiku wa kuamkia leo nchini Uganda.

 

No comments:

Post a Comment