Pages - Menu

Thursday, December 18, 2014

SERIKALI YASAINI AZIMIO LA ARUSHA LINALOHUSU KINGA YA JAMII



Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum akitoa hotuba ya kufunga kongamano la Kimataifa la siku tatu kuhusu Kinga ya Jamii lililoanza Disemba 15-17, 2014 jijini Arusha.

Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum akisaini Azimio la Arusha kwa niaba ya Serikali ya Tanzania ambalo lilipitishwa wakati wa kongamano la Kimataifa la siku tatu kuhusu Kinga ya Jamii lililoanza Disemba 15-17, 2014 jijini Arusha.

No comments:

Post a Comment