Wednesday, December 10, 2014


MADAI! Huku zikiwa zimepita siku chache tangu igundulike kwamba muigizaji, Aunt Ezekiel kuwa na mimba ambayo inasadikiwa kuwa si ya mume wake (Sunday Demonte), ndugu wa mume huyo wameibuka na kutaka kumfikisha Bakwata (Baraza Kuu la Waislamu Tanzania).

DAH MASIKINI! Hivi ndivyo unavyoweza kusema wakati unapomuona msanii wa muziki wa kizazi kipya, Cheka Hija, maarufu kama Bi. Cheka kutoka Kundi la Mkubwa na Wanawe, linaloongozwa na Said Fella ‘Mkubwa’ lenye maskani yake, Temeke jijini Dar es Salaam.

JAMAA wawili, mmoja fundi umeme, Rashid Balazi na Juma Bushiri wanadaiwa kunusurika kifo baada ya kutekwa na kusulubiwa nyumbani kwa msanii wa sinema za Kibongo, Wema  Sepetu  wakituhumiwa kukwapua simu ya bei mbaya ya mpambe wa mwanadada huyo, Petit Man, Amani limeichimba kwa kina.

ACHANA na watu kibao waliojitokeza mitandaoni na kudai wana undugu na mshindi wa Shindano la Bigbrother Hotshot (2014), Idris Sultan (21), mwigizaji Elizabeth Michael ‘Lulu’ ndiye mtu wa kwanza kabisa kujinadi kuwa na urafiki na mshindi huyo aliyejinyakulia zawadi ya shilingi milioni 510.

Monday, December 8, 2014






Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Airtel Tanzania,Jackson Mmbando akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi  huduma mpya ya HOME WI-FI itakayowawezesha wateja wake watumiaji INTANETI kufurahia kutumia kifurushi kimoja familia nzima kwa kuwaunganisha na Wi-fi watu 32 ndani ya familia na kuunganisha wanafamilia wengine wanne waliopo mahali popote nchini Tanzania  kufurahia internet ya 3.75G.  kulia ni Meneja Masoko wa Airtel Home WiFi, Gaurav Dhingra.

Sunday, December 7, 2014


MSHIRIKI kutoka Tanzania, Idris Sultan usiku huu ameibuka mshindi wa shidano la Big Brother Hotshots na kujinyakulia dola za Kimarekani 300,000 zaidi ya milioni 500 za Kibongo.


MSANII wa filamu na muziki Bongo, Snura Mushi amejikuta kwenye wakati mgumu baada ya kutumika kwa utapeli kupitia namba yake ya simu.


MCHEZA filamu za Kibongo, Alice Bangezi ‘Rayuu’, amedai kuwa huwa anashindwa kudumu na mwanaume kwa kuwa hana mvuto wa mapenzi na mara nyingi anachezewa na kuachwa kwa dharau kubwa.

Habari mbaya! Mpenzi msomaji tunasikitika kukujuza kwamba ile ndoa iliyosubiriwa kwa hamu kubwa imeyeyuka baada ya uchumba wa staa wa Bongo Fleva aliyeiwakilisha Bongo kwenye Shindano la Big Brother Africa 2013 ‘The Chase’, Feza Kessy na jamaa kutoka Botswana, Oneal umeanguka chali.

 Kaka mtu aliyejitambulisha kwa jina moja la Nicholaus kwa kushirikiana na Oparesheni Fichua Maovu (OFM) ya Global Publishers, amesimamia fumanizi la dada’ke ambaye ni denti wa sekondari moja jijini Dar (majina yanahifadhiwa kwa sababu maalum) ambapo alimfumania chumbani na njemba mmoja sharobaro aliyetajwa kwa jina la Abuu Ally, mkazi wa Mbagala-Charambe, Dar.

Ni Jumatatu nyingine tunapokutana katika uwanja wetu huu murua, tukijuzana, kuelimishana na kujadiliana kuhusu mambo mbalimbali yahusuyo uhusiano wa kimapenzi. Namshukuru Jalali kwa kuniwezesha kuiona tena siku hii, naamini na wewe msomaji wangu uko poa kabisa.

STAA mwenye shepu ya aina yake ndani ya Bongo Movies, Tamrina Poshi ‘Amanda’ ameibuka na kusema kuwa siku ikifika atarejea kwa Mwenyezi Mungu lakini kwa sasa bado anakula ujana.












Hizo ndizo kauli zilizozagaa kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii mara baada ya habari ya kurekodiwa video ya utupu ya mwanadada anayedaiwa kuwa mwandani mpya wa Mbongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, Zarinah Hassan ‘Zari’ au ‘The Boss Lady’ kuchapishwa gazetini nchini Uganda, Ijumaa Wikienda linakupa mchapo kamili.
Design by hons.CISKO | Blogger Theme by CISKO