Geilson Santana Santos ‘Jaja’.
KLABU ya Yanga inatarajia kumsajili kiungo mkabaji mpya kutoka Brazil
Emerson De Oliveira Neves Rouqe kuziba nafasi hiyo iliyoachwa na
mshambuliaji Geilson Santana Santos ‘Jaja’ aliyekatisha mkataba wake na
klabu hiyo kutokana na kukabiliwa na matatizo ya kifamilia.
RSS Feed
Twitter
10:35 PM
Hon.Cisko