Baadhi ya madereva na makondakta wakiwa wamejikusanya kuoengelea hatma ya mgomo wao.
Polisi wakilinda usalama kwenye mkusanyiko huo.
Umati ukiwa ndani ya kituo cha mabasi cha Ubungo
Kamanda wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Kamishna Suleiman Kova, akiwatuliza madereva waliogoma na kuwaahidi kutatuliwa tatizo lao.
Polisi wakifanya doria maeneo ya Ubungo kuangalia hali ilivyo barabarani.
0 comments:
Post a Comment