Showing posts with label economy. Show all posts
Showing posts with label economy. Show all posts

Wednesday, February 11, 2015




Mkurugenzi wa masoko wa Airtel bw. Levi Nyakundi (kushoto) akimkabidhi mmoja kati ya washindi wa promosheni ya Yatosha Zaidi bi. Mwajabu Omary leo katika makabidhiano yaliyofanyika katika ofisi za makao makuu ya Airtel Tanzania. Anayeshuhudia (katikati) Mkurugenzi wa wa kitengo cha Mawasiliano bi Beatrice Singano Mallaya .Airtel imekabidhi magari matatu katika hafla hiyo.

Thursday, January 22, 2015


Msimamizi wa bodi ya michezo ya kubahatisha,Mrisho Millao(kulia)akiandika namba ya Hynes Petro Kanumba (20) Mkazi wa kijiji cha Inyonga mkoani Rukwa aliyeibuka mshindi wa Shilingi Milioni 10/- katika droo ya nane kupitia promosheni ya JayMillions inayoendeshwa na Vodacom Tanzania,wengine katika picha kutoka kushoto Meneja Uhusiano wa Umma wa kampuni hiyo,Matina Nkurlu na Meneja uhakiki wa mapato Vodacom Zakaria Kamweru.Ili mteja kujua kama ameshinda anatakiwa kutuma neno Jay kwenda 15544.

Tuesday, December 23, 2014


MWANAMITINDO anayefanya vizuri katika urembo ambaye hivi karibuni aliingia mkataba wa mabilioni na kampuni ya Rainbow Shell ya China, Jokate Mwegelo amesema katika harakati zake za kusaka mafanikio, hajawahi kukanyaga kwa waganga zaidi ya kumtegemea Mungu pekee.
Jokate ambaye brand yake inakwenda kwa jina la Kidoti alisema; “Ninatumia akili yangu pamoja na watu wangu kutoka crew yangu hadi hatua tuliyofikia, mambo yakiwa magumu namlilia Mungu kwa kusali kila siku kwa imani yangu huwa naamini naweza kushinda bila kwenda kwa mganga.”

Sunday, December 21, 2014


Vunja ukimya! Kwa mara ya kwanza, mama mzazi wa mwanamitindo na mkurugenzi wa brand ya urembo ya Kidoti, Jokate Mwegelo, Benadertha Ndunguru amemfungukia mwanaye baada ya kuingia ubia na Kampuni ya Rainbow Shell Craft ya nchini China inayomuingizia mabilioni ya fedha.

Monday, December 8, 2014






Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Airtel Tanzania,Jackson Mmbando akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi  huduma mpya ya HOME WI-FI itakayowawezesha wateja wake watumiaji INTANETI kufurahia kutumia kifurushi kimoja familia nzima kwa kuwaunganisha na Wi-fi watu 32 ndani ya familia na kuunganisha wanafamilia wengine wanne waliopo mahali popote nchini Tanzania  kufurahia internet ya 3.75G.  kulia ni Meneja Masoko wa Airtel Home WiFi, Gaurav Dhingra.

Monday, November 17, 2014



Economic Overview: Performance and Outlook

Design by hons.CISKO | Blogger Theme by CISKO