Wednesday, December 17, 2014



PAMOJA na tetesi kuwa nguli wa filamu za Kibongo Blandina Chagula ‘Johari’, ameshindwa kushika mimba, mwenyewe ameamua kufunguka na kudai kuwa kizazi chake kinafanya kazi na anachosubiri ni kumpata mwanaume ambaye atakuwa tayari kumuoa ndipo atakaporuhusu

MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Bi Cheka hivi sasa ni mgonjwa. Anahitaji matibabu na huduma muhimu kutokana na umri wake mkubwa (ana miaka 55).

SIKU chache baada ya kuripotiwa kuwa mjamzito, mimba ya mwigizaji Aunt Ezekiel imezua balaa baada ya mwanamke anayedaiwa kuibiwa bwana na mwigizaji huyo anayefahamika kwa jina la Mwengi kuibuka na kufunguka mazito.


MSANII wa filamu Bongo, Shamsa Ford  hivi karibuni alijikuta akiangua kilio uwanjani baada ya timu yake anayoishabikia ya Yanga kufungwa mabao mawili bila.

HAYA MAJANGA! Wakati vuguvugu la uchaguzi wa serikali za mitaa likiwa bichi, baadhi ya sehemu zikiwa zinasubiri zoezi hilo kutokana na sababu tofauti, matukio mbalimbali, yakiwemo ya kusikitisha, yameripotiwa.



KWA mara ya kwanza ndani ya Global TV Online ya Global Publishers, supastaa ndani na nje ya Bongo kutoka muziki wa Kizazi Kipya, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ amewafungukia waliowahi kuwa wapenzi wake, Jokate Mwegelo ‘Kidoti’, Wema Sepetu ‘Madam’ na Penniel Mungilwa ‘Penny’ kuwa waligoma kumzalia mtoto.

Monday, December 15, 2014






Huyu ndiye mtekaji raia wa Iran, Haron Monis.
WATU watatu wameuawa akiwemo mtekaji raia wa Iran, Haron Monis aliyekuwa ameteka watu kwa zaidi ya saa 16 katika mgahawa mmoja jijini Sydney nchini Australia jana baada ya Makomando kuvamia eneo hilo. Watu wanne akiwemo polisi wamejeruhiwa wakati wa zoezi la uokoaji.

HUZUNI, vilio, majonzi vilitawala kwa wakazi wa Kiabakari na vitongoji vyake kufuatia Mwalimu Alfred Ghozi (26) (pichani) wa Shule ya Sekondari ya Kukirango iliyopo Kata ya Kukirango, Halmashauri ya Butiama mkoani Mara kukutwa amechinjwa kama kuku kwa kutumia panga, Uwazi lina mkasa wote.



Muheza ni moja kati ya wilaya nane zinazounda Mkoa wa Tanga. Kwa upande wa Kaskazini, Muheza inapakana na nchi ya Kenya, upande wa Mashariki kuna Jiji la Tanga na Bahari ya Hindi, Kusini inapakana na Wilaya ya Pangani wakati Magharibi kuna wilaya za Lushoto na Korogwe.



MKE na mume wa familia moja, Mathayo George (61) na Beatus Mathayo (49) wakazi wa Nachingwea mkoani Lindi wamejikuta kwa nyakati tofauti wakikumbwa na magonjwa ya ajabu ambapo mume ameota magamba huku mke akipata upofu.

WIKI iliyopita katika simulizi hii ya Diamond  tuliishia pale ambapo staa huyo aliongelea namna wimbo wake wa Mbagala ulivyopendwa kiasi cha kumfanya  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete ‘JK’ kumteua kuwa mburudishaji kwenye ziara za kampeni ya Uchaguzi Mkuu wa Rais, mwaka 2010.Wiki hii tunaendelea…

Roho mkononi! Jumla ya magari saba yakiwemo mabasi mawili yaliyokuwa yakitokea jijini Dar es Salaam kuelekea Mwanza, yametekwa na watu wanaodaiwa kuwa ni majambazi usiku wa kuamkia Jumamosi ya wiki iliyopita, saa 6:30 usiku eneo la Ng’ungumalwa mkoani Mwanza.

Wednesday, December 10, 2014

CHEK....

Mshindi wa zaidi ya milioni 500 za shindano la Big Brother Hotshots, Idris Sultan (katikati) baada ya kuwasili katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere.

MSANII wa filamu Bongo, Deogratius Shija hivi karibuni alizua timbwili baada ya kung’ang’ania kujiandikisha kwenye daftari la wapiga kura kwenye mtaa ambao siyo wake.
Design by hons.CISKO | Blogger Theme by CISKO