Kikundi
cha wasanii mkoani Dodoma, kikitoa burudani kwa wajumbe wa mkutano mkuu
wa nne wa wanachama na wadau wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, mjini
Dodoma. Mkutano huo umemalizika leo Alhamisi Feb 19, 2015
Kaimu
mkurugenzi wa fedha na utawala wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Yahaya
Ally, akitoa taarifa ya fedha ya Mfuko huo wakati wa mkutano wa nne wa
wanachama na wadau wa PSPF, mjini Dodoma. Mkutano huo ulioanza Februari
18, umefungwa leo Alhamisi Februari 19, 2015
Baadhi
ya washiriki wa mkutano mkuu wa nne wa wanachama na wadau wa Mfuko wa
Pensheni wa PSPF, wakifuatilia mkutano huo leo, wakati wa ufungaji
Mkurugenzi
wa Uwekezaji wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Gabriel Silayo, akitoa mada
kuhusu uwekezaji katika sekta mbalimbali uliofanywa na Mfuko huo, wakati
wa mkutano mkuu wa nne wa wanachama na wadau wa PSPF mjini Dodoma.
Mkutano huo umemalizika leo Alhamisi Februari 15, 2015
Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF,
Neema
Muro, akitoa mada kuhusu huduma zitolewazo na Mfuko huo kwa wanachama
wake, wakati wa mkutano mkuu wa nne wa wanachama na wadau mjini Dodoma
Baadhi
ya wajumbe wa kamati ya maandalizi ya mkutano mkuu wa nne wa Wanachama
wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, wakiongozwa na Meneja wa Masoko na
Mawasiliano wa Mfuko huo, Costantina Martin (wapili kushoto), wakiwa
katika picha ya pamoja baada ya kufanikisha mkutano huo kwa mafanikio
makubwa. Mkutano huo umemalizika jana Alhamisi Februari 19, 2015
0 comments:
Post a Comment