MWAKILISHI
Mkazi wa Shirika la JICA nchini Tanzania, Onishi Yasunora
akibadilishana mawazo na Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO, Mhandisi
Felchesm Mramba (kulia) wakati wa mkutano na waandishi wa kuzungumzia
maendeleo ya miradi ya kuboresha na kukarabati miundombinu ya umeme hapa
nchini. Mkutno huo ulifanyika Dar es Salaam. Pamoja nao ni Waziri pia
mkuu wa Kazi wa Ubalozi wa Japan hapa Nchini, Kazuyoshi Matsunaga.
MKURUGENZI
Mtendaji wa TANESCO, Mhandisi Felchesm Mramba akibadilishana
mawasiliano na Waziri pia mkuu wa Kazi wa Ubalozi wa Japan hapa Nchini,
Kazuyoshi Matsunaga kabla ya mkutano na wanahabari jijini Dar es Salaam.
MKURUGENZI
Mtendaji wa TANESCO, Mhandisi Felchesm Mramba akisalimiana na mmoja wa
wadau wa Japan waliohudhuria mkutano na wanahabari uliohusu maendeleo ya
miradi ya ukarabati wa miundombinu ya umeme Dar es Salaam.
MKURUGENZI
Mtendaji wa TANESCO, Mhandisi Felchesm Mramba akimtambulisha Kaimu
Naibu Mkurugenzi Mtendaji, Mhandisi Sophia Mgonja kwa Mwakilishi Mkazi
wa Shirika la JICA, Onishi Yasunora (kushoto) na Waziri pia mkuu wa Kazi
wa Ubalozi wa Japan hapa Nchini, Kazuyoshi Matsunaga, wakati wa mkutano
na waandishi wa kuzungumzia maendeleo ya miradi ya kuboresha na
kukarabati miundombinu ya umeme hapa nchini.
Meneja Mawasiliano wa TANESCO, Leila Mhaji akijitambulisha
wakati wa mkutano huo ulifanyika Dar es Salaam.
MKURUGENZI
Mtendaji wa TANESCO, Mhandisi Felchesm Mramba akiongea na wadau wa
maendeleo kutoka Japan wakati wa mkutano na waandishi wa kuzungumzia
maendeleo ya miradi ya kuboresha na kukarabati miundombinu ya umeme hapa
nchini. Mkutano huo ulifanyika Dar es Salaam.
Maofisa Mawasiliano wa TANESCO, Neema Mbuja (kulia) na Salama wakifuatilia mkutano huo.
0 comments:
Post a Comment