Monday, April 13, 2015
Friday, April 10, 2015
Tuesday, March 24, 2015
Monday, March 16, 2015
Wednesday, March 11, 2015



Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akisalimiana na Balozi wa China Nchini Tanzania Dr.Lu Youqing alipofika
Ikulu Mjini Zanzibar (kulia) Balozi Mdogo wa China anayefanyia kazi
Zanzibar Xie Yunliang.


Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akifuatana na mgeni wake Balozi wa China Nchini Tanzania Dr.Lu Youqing
baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika alipofika Ikulu Mjini
Zanzibar.[Picha na Ikulu.]
Friday, February 20, 2015



MWAKILISHI
Mkazi wa Shirika la JICA nchini Tanzania, Onishi Yasunora
akibadilishana mawazo na Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO, Mhandisi
Felchesm Mramba (kulia) wakati wa mkutano na waandishi wa kuzungumzia
maendeleo ya miradi ya kuboresha na kukarabati miundombinu ya umeme hapa
nchini. Mkutno huo ulifanyika Dar es Salaam. Pamoja nao ni Waziri pia
mkuu wa Kazi wa Ubalozi wa Japan hapa Nchini, Kazuyoshi Matsunaga.
Friday, February 13, 2015


Ujumbe
wa Kamati ya Bunge ya Ardhi , Maliasili na Mazingira ukiongozwa na
Makamu Mwenyekiti wa Kamati, Abdulkarim Esmail Hassan Shah (Mafia),
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angela Kairuki na
kuambatana na uongozi wa Shirika la Nyumba la Taifa wakisikiliza maelezo
kutoka kwa Kaimu Balozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini, Tumaini Thika
jana. Kamati hiyo iko katika ziara ya mafunzo nchini humo.
Wednesday, February 11, 2015



Mkurugenzi
wa masoko wa Airtel bw. Levi Nyakundi (kushoto) akimkabidhi mmoja kati
ya washindi wa promosheni ya Yatosha Zaidi bi. Mwajabu Omary leo katika
makabidhiano yaliyofanyika katika ofisi za makao makuu ya Airtel
Tanzania. Anayeshuhudia (katikati) Mkurugenzi wa wa kitengo cha
Mawasiliano bi Beatrice Singano Mallaya .Airtel imekabidhi magari matatu
katika hafla hiyo.
Subscribe to:
Posts (Atom)