Sunday, November 23, 2014

CHECK VIDEO YAKE..


Geilson Santana Santos ‘Jaja’.
KLABU ya Yanga inatarajia kumsajili kiungo mkabaji mpya kutoka Brazil Emerson De Oliveira Neves Rouqe kuziba nafasi hiyo iliyoachwa na mshambuliaji Geilson Santana Santos ‘Jaja’ aliyekatisha mkataba wake na klabu hiyo kutokana na kukabiliwa na matatizo ya kifamilia.


MWISHONI mwa wiki kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom Tanzania iliibuka kinara wa pili kwa walipa kodi wakubwa na inaongoza katika kundi la sekta ya mawasiliano nchini ambapo haijawahi kutokea.
Akiongea katika kilele cha maadhimisho ya 8 ya Wiki ya Mlipa Kodi yaliyofanyika katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Mwalimu Nyerere, Mkurugenzi wa Kitengo cha Elimu ya walipa kodi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania,Richard Kayombo, aliyataja makampuni 3 yanayoongoza kwa kufuata kanuni bora za ulipaji kodi na utunzaji wa kumbukumbu za kulipa kodi nchini kuwa ni Kampuni ya Bia Tanzania, Kampuni ya Vodacom na Kampuni ya kutengeneza sigara.
Akiongea muda mfupi baada ya kutunukiwa kikombe na cheti cha ushindi kutoka kwa mgeni wa heshima ambaye alikuwa ni Waziri Kiongozi mstaafu wa Zanzibar Shamsi Vuai Nahodha, Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania Kelvin Twisa alisema “Napenda kuishukuru Serikali kwa kutambua mchango wetu wa kuchangia mapato na vilevile nawashukuru wafanyakazi wote wa Vodacom na wateja wote ambao wanaendelea kutuweka mbele kwa ushirikiano wao na kutuamini ambapo tumeweza kuwa wachangiaji wakubwa.



Baadhi ya miili ya abiria waliouawa jana na Al-Shabaab eneo la Mandera, Kenya.



Mbunge wa Kigoma Kusini, Mhe. David Kafulila akiwa na mai waifu wake Jessica Kishoa wakijiandaa kukata utepe wa kuingia katika mnuso kwenye ukumbi wa Annex uliopo Uvinza, Kigoma, jana Jumamosi Novemba 22, 2014.
Kala Jeremiah (kushoto) na Nuruwell wakipafomu kwa mara ya kwanza wimbo wa Usikate Tamaa ndani ya Maisha Club.

Thursday, November 20, 2014









CHECK OUT.....

Wednesday, November 19, 2014



MISS Tanzania 2006/07 ambaye ni staa wa sinema za Kibongo, Wema Isaac Sepetu ‘Beautiful Onyinye’, amevunja ukimya kwa kuamua kuanika kisa cha yeye kummwaga aliyekuwa mwandani wake, nyota wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’.


Prizenta wa Kituo cha Radio E-FM cha jijini Dar, Penniel Mungilwa ‘VJ Penny’ anadaiwa kukumbwa na mauzauza yaliyodaiwa ni mapepo na kujikuta akipiga makelele barabarani.


HAMNAZO? MISS Sinza 2001 na aliyekuwa mshiriki wa Miss Tanzania 2011, Husna Maulid ameonesha kuwa ni sikio la kufa baada ya kupiga picha za utupu kwa mara nyingine.


Mdada wa mjini ambaye ni dada wa hiyari wa msanii, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Halima Kimwana amedai kuwa hahusiki na uhusiano unaoendelea kati ya kaka yake huyo na mrembo kutoka Uganda, Zari.
http://api.ning.com/files/rkFK1BYzsGjKA0QZDg*-S0GSahuxyVSI1Bm50YWbgtZIDMn9-heNUWmCik9X0RH9wRqbaGQQBXZmQv2nb0uwuw4CzQQHt8Ey/Shamsa.jpg
Staa wa Filamu za Kibongo, Shamsa Ford amesema kuwa kutokana na kupenda watoto anaona hawezi kutosheka kuzaa watoto wawili au watatu ila atakachofanya ni kuzaa tu mpaka atakapoambiwa hospitali inatosha.

WIKI iliyopita tuliwaletea marais waliouawa kwa risasi wakiwa madarakani. Wiki hii tunawaletea wabunge wa Tanzania waliokufa kwa ajali, iwe ndege, gari au usafiri wowote ule!

DIVA wa Filamu za Kibongo, Aunty Ezekiel hivi karibuni alijikuta akiangua kilio alipokuwa eneo la kuigiza ‘location’ pande za Kijichi jijini Dar baada ya kusumbuliwa na jino ambapo alishindwa kuvumilia maumivu.

Tuesday, November 18, 2014

Staa wa filamu za kibongo, Sabrina Rupia ‘Cathy’.
STAA wa filamu za kibongo, Sabrina Rupia ‘Cathy’ ambaye aliripotiwa kuondoka katika kundi maarufu la Bongo Movie Unity, anadaiwa kutaka kurejea kundini baada ya kuona anakosa madili.


HATARI! Mwanamke mmoja aliyejulikana kwa jina la Tatu Ikoko mkazi wa Mwananyamala jijini Dar, hivi karibuni alifunga mtaa kwa kutembea bila nguo baada ya kumfumania mumewe akiwa na mwanamke mwingine.


NABII wa Kanisa la The Revelation lililopo Buza Kipera jijini Dar, Yaspi Bendera amesema uchaguzi mkuu ujao utakuwa balaa kubwa kufuatia maono anayoyaona wakati akishiriki ibada katika nyakati mbalimbali, Risasi Jumatano linakupa mkanda kamili.


MASTAA wana mambo! Baada ya kukataa kwa muda mrefu kwamba hajawahi kuzaa, msanii wa filamu Bongo, Salma Jabu ‘Nisha’ amemwanika mwanaye anayejulikana kwa jina la Iptysam Othman ‘Angel’ mwenye umri wa miaka 10.


KESI ya kuua bila kukusudia inayomkabili mtoto mzuri wa Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ imewekwa kiporo kufuatia kuwepo kwa kesi nyingi za mauaji mahakamani, Risasi Mchanganyiko limetonywa.


Kwa sasa msichana huyo amedhamiria kufanya kweli katika muziki na filamu ili kujiimarisha kisanaa. Ifuatayo ni sehemu ya mahojiano hayo ambayo pia yanapatikana katika tovuti .



Vijana mjini Mombasa, Kenya.



 
Rihanna - Mini Biography (TV-PG; 03:04) The youngest artist to score 12 number one singles in the US, Rihanna signed with Def Jam records at the age of 16. Since then, she's become an international sensation with hit songs such as "Umbrella," "We Found Love," and "Diamonds."







Kilimanjaro. The name itself is a mystery wreathed in clouds. It might mean Mountain of Light, Mountain of Greatness or Mountain of Caravans. Or it might not. The local people, the Wachagga, don't even have a name for the whole massif, only Kipoo (now known as Kibo) for the familiar snowy peak that stands imperious, overseer of the continent, the summit of Africa.

check out.....





check out....

Whether you scroll through 'em while sipping that morning cup of coffee or use your lunch break to catch up on the latest news and gossip, nearly everyone reads blogs. There are thousands (if not millions) of options out there, which means it can be hard to know which writers are legit and which ones are just kinda... not so much. We picked 60 of our favorite blogs that are shaking up the health and wellness space by posting great content, interacting with readers, and generally providing kick-ass information to the Internet at large. 
Specifically, we looked for blogs that feature actionable, useful, and positive posts that reflect Greatist's mission of living a healthy and happy life. We also looked at comments and engagement with readers, social media followers, quantity of posts, and design. These 60 site aren't the only blogs you should read, but they're a good place to start. Can't get enough? Check out last year's list for even more bloggy goodness.



A WHO health worker teaches trainee how to put on a protective suit in Freetown

Ebola medics 'better trained in Sierra Leone than Spain'



The current Ebola outbreak is centered in three countries in West Africa: Liberia, Guinea, and Sierra Leone. Ebola does not pose a significant risk to the American public. There have been cases of Ebola diagnosed in the United States, and these recent cases have led the CDC to institute screening protocols for patients arriving from the three affected African countries at five major US airports.


Dar es Salaam. Mwanza’s basketball giants, Bugando Planet, have their eyes focused on lifting the trophy as they take on Bugando Warriors in the first game of the Mwanza Family League’s final at the Bank of Tanzania (BoT) Club’s court today.



SEE THE VIDEO........

Monday, November 17, 2014


Starting a business



Economic Overview: Performance and Outlook



tanzania-industry-trade
The manufacturing sector in Tanzania remains relatively small, with most activities concentrating on the creation of simple consumer products such as foods, beverages, tobacco, textiles, furniture and wood allied products.

slide

KITENDAWILI
lose-belly-fat
Getting rid of your belly bulge is important for more than just vanity's sake. Excess abdominal....

no title

There's no denying Kim Kardashian has changed a lot through the years.


TIMU ya Mbeya City inayomilikiwa na Halmashauri ya Jiji la Mbeya, imetangaza kujiondoa rasmi kwenye mbio za ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu huu baada ya kuanza vibaya kwenye mechi saba na akili zote sasa wamezielekeza katika kuiokoa timu hiyo na janga la kushuka daraja.

Who are the richest people in Tanzania? This question may be asked by people in Tanzania who want to know the kind of wealth, amount of money, and other resources their countrymen and women own.
There are indeed a lot of wealthy people in Tanzania, and this article will help you get to know some of them. Below is a listing of some of the richest people in Tanzania and what they own.


MTOTO  mmoja wa miaka 9 (jina linahifadhiwa)  ambaye ni mwanafunzi wa darasa la pili katika Shule ya Msingi Manda iliyopo Kijiji cha Mtimbira, wilayani Ulanga, Morogoro wiki iliyopita usiku wa manane anadaiwa kukutwa darasani akiwa na hirizi kubwa kiunoni.

Waziri Kiongozi Mstaafu wa awamu ya sita, Shamsi Vuai Nahodha.
Waziri Kiongozi Mstaafu wa awamu ya sita, Shamsi Vuai Nahodha amesema ipo haja ya kuendelea na Serikali ya Umoja wa Kitaifa kwa vile sababu zilizofanya kuundwa kwake baada ya vyama vya CCM na CUF kuunda serikali hiyo bado zipo.
Katika mahojiano haya maalum kati ya kiongozi huyo na gazeti hili yaliyofanyika hivi karibuni jijini Dar, Nahodha amezungumzia mengi kuhusu katiba mpya, Ukawa, serikali ya kitaifa, kujiuzulu kwake uwaziri, asichoweza kukisahahu katika uongozi wake kama Waziri Kiongozi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), uchumi na kadhalika. Ungana nami ufahamu alichokisema:

INASHANGAZA sana! Katika hali isiyokuwa ya kawaida mganga wa kienyeji ‘sangoma’ mmoja aliyefahamika kwa jina la Lambalamba amejikuta akiingia kwenye hatua ya nusu kifo kufuatia kupoteza fahamu baada ya kuelemewa na majini aliyokuwa akiyatoa shuleni


NATISHA! Uhaba mkubwa wa madawa, ongezeko la ada ya kitanda na chakula katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, umesababisha watu wengi kupoteza maisha kufuatia wagonjwa kukosa huduma na hivyo kurejea majumbani mwao.

Sunday, November 16, 2014


Rais wa Algeria Abdelaziz Bouteflika hatimaye atoka hospitalini ambako alikuwa amelazwa kwa siku mbili kutokana na ugonjwa usiojulikana.


Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Jerry Silaa akisalimiana na Padre Paulo.…


Peter Kassig enzi za uhai wake.


Mrisho Ngassa na mkewe Ladhia Mngazija wakiwa na nyuso za tabasamu baada ya kufunga ndoa leo.  
MSHAMBULIAJI wa Taifa Stars na Yanga SC, Mrisho Ngassa leo amefunga ndoa ya pili na Ladhia Mngazija eneo la Tegeta jijini Dar es Salaam.

Mwanadada mwenye umbo la utata Bongo, Lulu Semagongo ‘Aunt Lulu’
MWANADADA mwenye umbo la utata Bongo, Lulu Semagongo ‘Aunt Lulu’ ameibuka na kueleza kwamba mastaa wamegundua njia mpya ya kujiuza ambayo ni kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii.
Akistorisha na gazeti hili, Aunt Lulu alisema mastaa wengi wa kike wanajiuza kwenye mitandao ambapo mapedeshee waliopo mikoa mbalimbali wakishaziona picha zao huwa wanawatafuta kwa udi na uvumba ambapo wanawapigia simu na kuwatumia fedha na tiketi za ndege ya kwenda na kurudi.…


Msanii wa filamu Bongo, Aisha Bui wakati akiwa katika ofisi za kusambaza filamu za Yuneda zilizopo Mbagala.
KESI ya msanii wa filamu Bongo, Aisha Bui ya kufanya fujo ofisini kwa msambazaji wa filamu akidai kutolipwa fedha zake za filamu bado ni ya moto ambapo msambazaji anazungumza na mwanasheria wake kisha kumburuza mwigizaji huyo mahakamani.
Chanzo makini kimedai kuwa, baada ya Aisha kulala polisi na kutoka kwa dhamana msambazaji huyo, Ngeze Yuneda anatarajia kumburuza mahakamani akidai amembambikizia madai mengi ya uongo.

Thursday, November 13, 2014


AFTER eating duck enough brains, while sindikizana romantic, staa Bongo Fleva, Randomly Abdul 'Diamond Platnumz' and pretty bright from Uganda, Zarinah Hassan aka Zari or The Boss Lady, have invented a chat to Airport International Julius Nyerere in Dar, Friday contains a full whip.














 

A DOCTOR who is associated with the occurrence of 13 deaths in the center provide access to birth control through provincial Chattisgarh surgery in India, Dr. RK Gupta has been arrested. ...

Design by hons.CISKO | Blogger Theme by CISKO