
Mbunge
wa Kigoma Kusini, Mhe. David Kafulila akiwa na mai waifu wake Jessica
Kishoa wakijiandaa kukata utepe wa kuingia katika mnuso kwenye ukumbi wa
Annex uliopo Uvinza, Kigoma, jana Jumamosi Novemba 22, 2014.

Mhe.
David Kafulila na mai waifu wake Jessica Kishoa pamoja na wapambe wao
Mhe. Deo Filikujombe na mke wake Sarah Filikunjombe wakipeleka keki kwa
wazazi wa bwana harusi.
Baadhi ya waheshimiwa wabunge waliopamba harusi ya Mhe. David Kafulila katika picha ya pamoja. Kutoka kushoto ni Mhe Deo Filikunjombe. Mhe.David Kafulila ambaye ndiye Bw. Harusi, Mhe Zitto Kabwe na Mhe. David Silinde
0 comments:
Post a Comment