Tuesday, November 18, 2014


Kwa sasa msichana huyo amedhamiria kufanya kweli katika muziki na filamu ili kujiimarisha kisanaa. Ifuatayo ni sehemu ya mahojiano hayo ambayo pia yanapatikana katika tovuti .

; Mwandishi: Safari yako kuelekea Big Brother Africa ilikuwaje?Laveda:  Nilienda kwenye usaili kama watu wengine na tulikuwa wengi sana, wengine watangazaji maarufu, nilichaguliwa kutokana na kuwa na sifa zote.
Mwandishi: Vipi kuhusu video yako iliyonaswa ukijichua?          
Laveda: Sijawahi kufanya hivyo wala kufanyia mtu mwingine, hapa kinaongelewa kitu ambacho hakijaonwa, mimi niko hapa wiki ya ngapi sijui, hizo video zinatafutwa hazijapatikana, sidhani kama kweli Big Brother watazuia kuonesha hizo clips, waliokuwa wananiongelea mimi wanatoka nchi zingine na alishaniona nina kipaji tokea siku ya kwanza, nilikuwa nina asilimia 85 na kiongozi na ukiwa kiongozi lazima utakuwa ‘nominated’.

0 comments:

Post a Comment

Design by hons.CISKO | Blogger Theme by CISKO