
Rais wa Algeria Abdelaziz Bouteflika hatimaye atoka hospitalini ambako alikuwa amelazwa kwa siku mbili kutokana na ugonjwa usiojulikana.
Rais wa Algeria Abdelaziz Bouteflika amerudi nchini Algeria baada ya kulazwa kwa siku mbili katika hospitali moja ya Ufaransa.Kiongozi huyo ambaye alikuwa akiuguwa kiarusi alilazwa katika hospitali hiyo ili kupata matibabu katika eneo la Grenoble siku ya alhamisi.Sababu ya kulazwa kwake hatahivyo haijulikani.
Serikali ya Algeria haijatoa tamko lolote kuhusu swala hilo.Bouteflika mwenye umri wa miaka 77 na ambaye ameiongoza Algeria tangu mwaka 1999 amekuwa haonekani hadharani tangu achaguliwe kwa hawamu yake ya nne mnamo mwezi Aprili.hospitali ya Grenoble kusini mashariki…
0 comments:
Post a Comment