
Habari mbaya! Mpenzi msomaji tunasikitika kukujuza kwamba ile ndoa iliyosubiriwa kwa hamu kubwa imeyeyuka baada ya uchumba wa staa wa Bongo Fleva aliyeiwakilisha Bongo kwenye Shindano la Big Brother Africa 2013 ‘The Chase’, Feza Kessy na jamaa kutoka Botswana, Oneal umeanguka chali.
Staa wa Bongo Fleva aliyeiwakilisha Bongo kwenye Shindano la Big Brother Africa 2013 ‘The Chase’, Feza Kessy.…
Habari
za uhakika zinadai kwamba mwanadada huyo ndiye aliyeamua kukata mzizi
wa fitina na kuachana na mwanaume huyo ambaye alitimba Bongo kumchumbia
baada kuona hana mipango ya maisha ya baadaye huku jamaa akiwa bize na
maisha yake na mwanaye mwenye umri wa miaka nane.
Feza Kessy akipozi.
RSS Feed
Twitter
10:14 PM
Hon.Cisko
Posted in
0 comments:
Post a Comment