MCHEZA
filamu za Kibongo, Alice Bangezi ‘Rayuu’, amedai kuwa huwa anashindwa
kudumu na mwanaume kwa kuwa hana mvuto wa mapenzi na mara nyingi
anachezewa na kuachwa kwa dharau kubwa.
Mcheza filamu za Kibongo, Alice Bangezi ‘Rayuu’.
Rayuu alitoa siri hiyo iliyo ndani ya mtima wake, baada ya kuwekwa
kati na paparazi wetu ambaye alitaka kujua sababu kubwa inayomfanya
kubadilisha wanaume, ndipo alipotoa neno hilo zito kwamba huwa anaachwa
kwa sababu hana mvuto na utaalamu wa kuwateka wanaume kama wanawake
wengine.
0 comments:
Post a Comment