Waziri
Mkuu Mhe. Mizengo Pinda akikaribishwa na Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Mradi
wa Mradi wa ujenzi wa bandari mpya ya Qatar, Bw. Yusuf Ahmad Al Hammadi
wakati alipotembelea eneo inapojengwa bandari hiyo kubwa na yakisasa
akiwa katika ziara ya kikazi nchini humo Desemba 22, 2014. (picha na
fisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya
Gesi ya Qatar (Qatargas Operating Company Limited), Bw. Khalid Al Thani
wakati alipotembelea ofisi kuu ya kampuni hiyo mjini Doha kujifunza
uwekezaji wenye maslahi mapana ya taifa katika sekta ya gesi akiwa
katika ziara ya kikazi nchini humo Desemba 22, 2014. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akikaribishwa na Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Mradi wa
Mradi wa ujenzi wa bandari mpya ya Qatar, Bw. Yusuf Ahmad Al Hammadi
wakati alipotembelea eneo inapojengwa bandari hiyo kubwa na yakisasa
akiwa katika ziara ya kikazi nchini humo Desemba 22, 2014.
0 comments:
Post a Comment