
MSANII wa filamu Bongo, Shamsa Ford hivi karibuni alijikuta akiangua kilio uwanjani baada ya timu yake anayoishabikia ya Yanga kufungwa mabao mawili bila.

“Unajua mimi ni Yanga damdam kufungwa imeniuma sana na nilishindwa kabisa kujizuia machozi, ukweli Yanga wanatukosea sana wao hawajui tu kwamba sisi mashabiki zao tunaumia,” alisema Shamsa.
0 comments:
Post a Comment