
MSANII
wa filamu Bongo, Deogratius Shija hivi karibuni alizua timbwili baada
ya kung’ang’ania kujiandikisha kwenye daftari la wapiga kura kwenye mtaa
ambao siyo wake.
Msanii wa filamu Bongo, Deogratius Shija akizungumza jambo.Paparazi wetu alimtafuta Shija ambapo alisema:
“Ni kweli nilienda kujiandikisha mawakala wakakataa nisijiandikishe kwa sababu nilishahama mtaa ambapo nilizozana nao hivyo baada ya vurugu kuzidi polisi walikuja kuniondoa hata hivyo sikujiandikisha, kura sitapiga.”
RSS Feed
Twitter
10:40 PM
Hon.Cisko
Posted in
0 comments:
Post a Comment