
Sir Elton John akikata keki na mpenzi wake David Furnish.

Sir Elton John akisaini hati ya ndoa. Pembeni ni David Furnish.


Walifunga ndoa mbele ya wanafamilia, marafiki na wageni wachache walioalikwa huko Windsor nchini England.
Waalikwa wengi wao walikuwa watu maarufu wakiwemo: Familia ya David na Victoria Beckham, David Walliams na mkewe Lara Stone, Liz Hurley na mwanaye Damian, waliowasili kwa usafiri wa gari katika eneo la sherehe.
Beckham alikuwasili pia na watoto wake Brooklyn, Romeo, Cruz na Harper. Sir Elton ni baba wa ubatizo wa Brooklyn na Romeo.
0 comments:
Post a Comment